Napendekeza tukatwe kodi ya Tsh 50/= kwa kila kilo ya mchele na unga wa mahindi/ngano badala ya laini za simu

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka.

Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla.

Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi sana.

(Mawazo hayapigwi mawe bandugu).

Naomba kuwaslisha.
 
Maumivu ni yale yale tu, Kama kutatua jambo kama hilo kirafiki wanafeli, Hapo ndipo huwa natilia shaka shahada za wakuu wetu.
 
Dogo yani hadi sasa hivi hujalala bado hupo macho jamvin na hapo sofani kwa shemeji yako. Kweli tutafika kwenye malengo kama taifa?
 
Si bora hata line mtu anajipangia anunue au aache huko kwenye msosi hakuna mtu ataacha kula ni hatari kisiasa.
 
Yani uongeze Kodi kwenye basic need uache vitu ambayo sio basic Sana? Hamna akili ya kiuchumi hapa
 
Yapo mazao ya biashara na ya chakula... Kuongeza Kodi ktk mazao ya chakula hiyo itamuumiza mlaji wa mwisho... Labda Kodi ikatwe kwa mazao ya biashara...
 
Team wala Magimbi wameanza chokochoko kwa team ya wala cha Spunda!
 
Napendekeza kodi ya uzalendo ya shilingi 100 kwenye kila fungu la viazi na mihogo...
 
Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka.

Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla.

Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi sana.

(Mawazo hayapigwi mawe bandugu).

Naomba kuwaslisha.
Napendekeza tukatwe kwenye chumvi
 
Back
Top Bottom