Dogo yani hadi sasa hivi hujalala bado hupo macho jamvin na hapo sofani kwa shemeji yako. Kweli tutafika kwenye malengo kama taifa?Maumivu ni yale yale tu, Kama kutatua jambo kama hilo kirafiki wanafeli, Hapo ndipo huwa natilia shaka shahada za wakuu wetu.
Yani uongeze Kodi kwenye basic need uache vitu ambayo sio basic Sana? Hamna akili ya kiuchumi hapa
Wale wasioutumia simu tutawapataje?Yule anayelima na kula mwenyewe utampataje?
Napendekeza tukatwe kwenye chumviTukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka.
Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla.
Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi sana.
(Mawazo hayapigwi mawe bandugu).
Naomba kuwaslisha.