Kuli Msomi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 266
- 625
Habairini za kazi ndugu Watanzania,
Ni maoni au mapendekezo yangu na baadhi ya Watanzania wachache pia ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaidi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2025 kuwe na mdahalo kwa Wagombea wote wa Kiti cha Uraisi Tanzania.
Pia ningependekeza mdahalo uwe usimamiwe na kurushwa mubashara na vyombo vya habari vya Kimataifa vinavyofanya kazi zake kwa usawa na haki na sio kwa uchawa na propaganda wa siasa za ndani ya Africa na Tanzania
Je, mnaonaje limekaa sawa hili jambo?