Kuli Msomi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 266
- 625
Navyojua wazee wa wanyama wa madoadoa hawathubutu🫠Habairini za kazi ndugu Watanzania
Ni maoni yangu au mapendekezo pia yangu na baadhi ya watanzania wachache ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaid uchaguzi mkuu wa tanzania mwaka 2025 kuwe na mdahalo kwa wagombea wote wa kiti cha uraisi Tanzania.
Pia ningependekeza mdahalo uwo usimamiwe na kurushwa live na vyombo vya habari vya kimataifa kazi zake kwa usawa na haki na sio kwa uchawa na upropaganda wa siasa za ndani ya africa na tanzania
Je, mnaonaje limekaa Sawa hili jambo ? [emoji56]
Hayo yalikuwa matokeo mchongo ya mbeleko la chumu,ongeza kimbia ofisi,teka wagombea,chakachua sanduku la mlo, na mengi mengine 😅kwamba chama chenye mbunge moja wa jimbo, na kingine hakina hata diwani wala mjumbe wa Serikali za mitaa, kinakaa jukwaa moja na chama chenye zaidi ya wabunge 400 nchi nzima, madiwani na wenye viti wa mitaa maelfu kwa maelfu, right ?🐒
wanajadiliana nini sasa hapo kwa mfano? 🤣
si ni kupotezeana muda tu aise. ni vizur ambao hawana muda au wabunge na madiwani waka kaa pamoja na kuona namna ya kuwapata 🐒
mimi ninao wabunge wa kutosha, naenda kujadiliana nini na wasio nao?