Uchaguzi 2020 Napendekeza ukosefu wa ajira iwe Ajenda Kuu ya Kampeni

Uchaguzi 2020 Napendekeza ukosefu wa ajira iwe Ajenda Kuu ya Kampeni

Pangamalasy

Senior Member
Joined
Jun 5, 2020
Posts
127
Reaction score
110
Ni ukweli usiopingika kuwa Raisi JPM kajitahidi sana kuleta maendeleo ya miundombinu kama barabara, madaraja, reli, ndege na viwanja vya ndege n.k.

LAKINI ametumia robo ya nguvu aliyoiweka kwenye miundombinu katika suala LA ajira. Tangu 2015-2020 ajira zilizotolewa ni chache sana kulingana na idadi ya wahitimu wa vyuo wakati wa uchaguzi ni fursa kwa vijana kueleza viliovyao, napendekeza tuandike mabango twende nayo kwenye viwanja vya kampeni.

Tunataka kiongozi ajae atueleze mikakati aliyonayo inayotekelezeka kuhusu ajira; hali ni mbaya wadogo zetu wamekosa morality ya kusoma kisa wanatuona kaka zao tupo tu mtaani karibuni kwa nyongeza.
 
(1) Ajira
(2) Uchumi
(3) Katiba na utawala wa sheria
(4) Uhuru wa maoni
(5) ...
 
Back
Top Bottom