May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Ili kuvutia ufungaji wa magoli mengi kwenye soka na kuongeza burudani, basi FIFA waanzishe utaratibu pale ambapo timu moja itafanikiwa kufunga zaidi ya magoli matatu bila basi waongezewe pointi moja zaidi.
Kwamba iwapo timu itafunga bao tatu bila Mpinzani kufunga goli basi badala ya point tatu tu za kawaida timu ifaidike kwa pointi moja ya ziada hivyo ziwe nne.
Yaani kwa ushindi wa bao 3-0, 4-1, 5-2, 7-2 n.k, ali mradi kuwe na tofauti ya Magoli matatu kati ya timu na timu, ila hata kama Timu moja itafunga mabao kumi bado faida ibaki hiyo pointi moja.
Kwa mfano siku pale Simba alipompiga Mtu bao tano basi walipaswa kupata ponti nne badala ya tatu tu za kawaida.