Nimefuatilia kwenye kipima joto wanaowaunga mkono wabunge wa Chadema kutoka nje ya Bunge wamefikia aslimia 75 na waliosema sio ni kama 24 hivi kama sikose.
Sasa tuje kwa wananchi. Imanii yangu ni kuwa wabunge wa ccm na serikali yao wataangukia pua.
Ndiyo hapo sasa tutawafumua mmoja kwa mmoja hawa mafisadi.
did you ever ask for the value of 'n' which leads to the kipima jotos percent response?
Kipima joto ni useless kuliko utafiti wa REDET na SYNOVATE. Dont take the kipima joto results seriously.