Napendekeza Waziri Bashe akae pembeni kwanza ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Labda kama sio Tanzania hii,

Mtu hajiuzulu mpaka atumbuliwe, na bado akitumbuliwa ataanza kulalama na kukosoa akiwa nje
 
Madudu yaliyoibuliwa na Mhe. Mpina yanatisha na kutukatisha tamaa na kutowaamini viongozi wetu tuliowachagua ili watatue kero zetu. Tunamtaka kwanza Bashe akae pembeni ili kupisha uchunguzi. Kuendelea kukaa kwenye ile ofisi mimi nitamshangaa sana Mteule wake.
Acha ushabiki elezea alicho tuhumiwa kwanza tuone kama lina mashiko.
 
Madudu yaliyoibuliwa na Mhe. Mpina yanatisha na kutukatisha tamaa na kutowaamini viongozi wetu tuliowachagua ili watatue kero zetu. Tunamtaka kwanza Bashe akae pembeni ili kupisha uchunguzi. Kuendelea kukaa kwenye ile ofisi mimi nitamshangaa sana Mteule wake.
Mteuzi wake anasema yeye ni churai kiziwi, hizo ni kelele tu. ccm Huwa hawasikilizi kelele

Kwanza mtawafanya Nini?
Kama ni uchaguzi hatamsipowapigia kura. Watashinda tu
 
Hata kuwazomea tu wabunge wa ccm ili wajue tumechoka nako hatuwezi?
 
Back
Top Bottom