Napendekeza Waziri Bashe akae pembeni kwanza ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Labda kama sio Tanzania hii,

Mtu hajiuzulu mpaka atumbuliwe, na bado akitumbuliwa ataanza kulalama na kukosoa akiwa nje
 
Acha ushabiki elezea alicho tuhumiwa kwanza tuone kama lina mashiko.
 
Mteuzi wake anasema yeye ni churai kiziwi, hizo ni kelele tu. ccm Huwa hawasikilizi kelele

Kwanza mtawafanya Nini?
Kama ni uchaguzi hatamsipowapigia kura. Watashinda tu
 
Mteuzi wake anasema yeye ni churai kiziwi, hizo ni kelele tu. ccm Huwa hawasikilizi kelele

Kwanza mtawafanya Nini?
Kama ni uchaguzi hatamsipowapigia kura. Watashinda tu
Hata kuwazomea tu wabunge wa ccm ili wajue tumechoka nako hatuwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…