dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Jul 12, 2023 #21 kipachaibwe said: Gentamycine Click to expand... Yule atakwenda kutandikwa makofi
D daniel lufumbula Senior Member Joined Oct 30, 2014 Posts 106 Reaction score 176 Jul 12, 2023 #22 mwenyekit mshana jr,,,maana ni mlonz akizingua,,mo anpigwa nakitu kizito anajikut anatii tu kila kitu
mwenyekit mshana jr,,,maana ni mlonz akizingua,,mo anpigwa nakitu kizito anajikut anatii tu kila kitu
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jul 12, 2023 Thread starter #23 dr namugari said: Ujinga hiu kumpigia binadamu magoti siyo haijawai kuwa ya kwanza kuporomoka kiuchumi Click to expand... Ndugu yangu wee, kupata mfadhili siyo kazi ndogo. Wakumbuke Yanga na kikapu Chao pale Kwa Mkapa mwaka 2018!!
dr namugari said: Ujinga hiu kumpigia binadamu magoti siyo haijawai kuwa ya kwanza kuporomoka kiuchumi Click to expand... Ndugu yangu wee, kupata mfadhili siyo kazi ndogo. Wakumbuke Yanga na kikapu Chao pale Kwa Mkapa mwaka 2018!!
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jul 12, 2023 Thread starter #24 The Boss said: Kama hataki aache ..asibembelezwe Click to expand... Anachoongelea ni usalama wa hela yake. Tukimwachia huyu utamleta Nani ghafla Mkuu?
The Boss said: Kama hataki aache ..asibembelezwe Click to expand... Anachoongelea ni usalama wa hela yake. Tukimwachia huyu utamleta Nani ghafla Mkuu?