Napiga hodi kwa unyenyekevu

prince p4

New Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
4
Reaction score
0
ndugu zangu nilifight sana kuwa mmoja wa wana jf na kwasasa kilio changu kimekwsha tupo pamoja wakuu wangu wa kazi
 
Wakuu wa mabadiliko pia
 
Karibu sana JF mjukuu wetu ufaidi, wakongwe tupo.
 
Karibu sana JamiiForums....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…