habari wana JF.
31th oct, napiga kura yangu kwa mara ya kwanza na nahisi nawakilisha walio wengi tuu. sasa nawaomba wale wadau ambao walishapiga kura hapo awali kunithibitishia kama kweli kura huibwa au lah, coz hii kitu bana inachanganya sana. pls naomba unieleze hata kama ni ki-IT bt kwa kiswahili.sita-entertain sababu kama tiki kuhama,mtu kujificha darini na kama hizo. nahitaji mchango wako wa kitaalam zaidi, ili namimi nije kuwa shuhuda kwa mpiga kure mpya 2015.