Napikaje makange ya kuku?

Napikaje makange ya kuku?

mkate kuku vipande, andaa vituguu maji, chumvi,mafuta, nazi, nyanya na maji.
chemsha mafuta kidogo yakisha chemka tia nyama yako ikichemka na kubadilika rangi weka vitunguu, karoti kisha nyanya na chumvi. mchanganyiko ukikolea na kuku wako kuiva tia tui la nazi na usifunike. baada ya nusu saa makange yatakakua tayari. hiyo ni kigetto getto. mia
 
mbona sijaona sehemu unayoweka nyanya, I mean wakati gani utatakiwa uweke nyanya?
 
mkate kuku vipande, andaa vituguu maji, chumvi,mafuta, nazi, nyanya na maji.
chemsha mafuta kidogo yakisha chemka tia nyama yako ikichemka na kubadilika rangi weka vitunguu, karoti kisha nyanya na chumvi. mchanganyiko ukikolea na kuku wako kuiva tia tui la nazi na usifunike. baada ya nusu saa makange yatakakua tayari. hiyo ni kigetto getto. mia
ahaaa acha kumdanganya bwana
 
Lol. Hii ni chuzi la kuku bana. Makange no pilipili barabara che?
mkate kuku vipande, andaa vituguu maji, chumvi,mafuta, nazi, nyanya na maji.
chemsha mafuta kidogo yakisha chemka tia nyama yako ikichemka na kubadilika rangi weka vitunguu, karoti kisha nyanya na chumvi. mchanganyiko ukikolea na kuku wako kuiva tia tui la nazi na usifunike. baada ya nusu saa makange yatakakua tayari. hiyo ni kigetto getto. mia
 
daahh..aisee bora yetu tunaokula ugali na msele..raha ya kukaa upareni..!!
 
N mimi naulilza makange ndo nini.

ni jina la nyama ya kuku au mbuzi iliochomwa na kufanyiwa rosti na hiki chakula kipo sanasana rose garden na break point kijitonyama kwa dar hii..
 
Mercri ngoja nijaribu kuyapika.
 
Back
Top Bottom