Napikaje makange ya kuku?


kuna post kama hii ilshatumwa mtu akaelezea ila ni tofauti kidogo na amaelezo yako hapo kwenye hiyo nyama ilikuwa imechomwa na siyo kuchemsha halafu sikuona kama amesema habari ya nazi labda na wewe huu ni ubunifu wako ngoja nikiipata hiyo post nta copy hapa au ntakwambia ili uisome mwenyewe.
 
Naomba msaada wandugu.


hii post aliituma huyu unaweza uka m pm akupe maelekezo vizuri

ndetichia

Kuna makange ya mbuzi na makange ya kuku.

makange ya mbuzi/kuku ni kwamba wanaanza kuchoma hiyo nyama ya mbuzi/kuku halafu unatengeneza mkaango au rosti ya:
nyanya
vitunguu
tangawizi
hoho
karoti
chumvi kiasi
na ndimu

Jinsi ya kupata idadi gani nikuokana wewe unataka iwe ya kutosha watu wangapi..

Nadhani umenipata kidogo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…