Napinga Jakaya Kikwete kuwa kiongozi wa waangalizi wa Uchaguzi wa Nigeria, hana sifa hizo

Kiutaratibu ni lazima kuwajulisha FIFA jambo ambalo tayari limefanyika , tunasubiri majibu yao kabla ya kuchukua hatua zingine , isipokuwa kuanzia siku ile Chadema haitashiriki shughuli yoyote inayoandaliwa na TFF
kwani chadema ni lini ilijishughulisha na shughuli za Tff?
 

Erythrocyte
hakika waliomteua JK kuwa kiongozi wa waangalizi wa uchaguzi wa nigeria ni masikini wa kufikiri. Kama ulivyosema JK ndiye aliyemteka Mwanaharamu Jecha Salim Jecha ( senge pevu) afute uchaguzi wa znz baaada ya CCM znz kushindwa vbya ktk uchaguzi wa mwaka 2015. Kama kuna harakati zinazoweza kuifikia serikali ya nigeria kumuondoa JK asiwemo kabisa ktk waangalizi wa uchaguzi wa nigeria ingeefaa zikafanywa. Ataharibu hiyo. Kikwete na demokrasia wapi na wapi. Aondolewe huyo. hana sifa hata moja ya kuwa mwangalizi wa uchaguzi
 
Hafai kabisa kwani hata naye ni the product of rigged elections. Hakuna ushahidi kuwa amewahi kushinda uchaguzi ktk nchi hii kwani kwa mara mbili alipotangazwa mshindi hakukuwa na tume huru.

Ni wale wale walio tayari kuua ili mradi tu ccm itawale. His presence there mars the credibility of the body appointed to oversee the Nigerian elections. He's not fit to join that party. Not fit completely.
 
Huyo JK kachaguliwa na watu wenye akili zilizo hai na siyo kwamba Ufipa ndo wanachagua waangalizi hao. Hiyo inadhihirisha kwamba maneno yenu ni majungu tu hayana mashiko ndo maana mnaona yanatokea haya. Baada ya 2025 Rais mstaafu Magufuli atakuwa pia kiongozi wa waangalizi wa chaguzi wa kimataifa
 
Unamsingizia; waharibu wa chaguzi ni Mwigulu, Kinana, Makamba mdogo; Nape
 
Jamani watu mishipa ya aibu imekatika zamani! Wewe unajijua ni mwizi wa kura halafu unaenda kusimamia uchaguzi huru na wa haki!!
 
Jamani watu mishipa ya aibu imekatika zamani! Wewe unajijua ni mwizi wa kura halafu unaenda kusimamia uchaguzi huru na wa haki!!
Hakuna Mwanaccm mwenye aibu , hata hivyo hatutawafumbia macho , Wallah Wabhillah !!

Liwalo na Liwe .
 
wewe unaweza kuoinga jk asiende haja kubwa
 
Kiutaratibu ni lazima kuwajulisha FIFA jambo ambalo tayari limefanyika , tunasubiri majibu yao kabla ya kuchukua hatua zingine , isipokuwa kuanzia siku ile Chadema haitashiriki shughuli yoyote inayoandaliwa na TFF
Duh! Hii comment ilikuwa ya kitaahira mno. CHADEMA na TFF zinahusianaje? Kuna event gani ya CHADEMA itahusisha TFF?
 
Mnaopinga Chadema kumpiga Spana Kikwete njooni hapa .
Mkuu Erythrocyte, pamoja na yote unayojitahidi kueleza hapa, elewa kuwa viongozi wa Afrika wanafanana na wanajuana sana. Usifikiri Kikwete anapewa majukumu kwa bahati mbaya. Kwamba “hawamjui”! Hizo spana huko nje hakuna anayezijali.

Mkapa alishawahi kukiri kwa jeuri katika mahojiano na media moja ya kimataifa kwamba haamini sana katika tija ya kuwa na “opposition” hapa Afrika. Lakini alipewa kazi za kusuluhisha migogoro ya kisiasa ya Burundi na Kenya.

Wapinzani Burundi walilalamikia kuwa anapendelea chama tawala lakini hakuna aliyejali.
 
Kikwete ni mtu moja bogus sana, ataendaje kwenye uchaguzi wa kidemokrasia wakati yeye haamini ktk uchaguzi huru na haki. Very hopeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…