PostGE2025 Napinga maridhiano na wauaji wa makusudi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ipo siku na wewe utashughulukiwa.
 
Mimi nimechoka na haya maisha bora tu nijitie kitanzi.
Safari hii keyboard worrier walitoka front, nilikuona mkuu, ss hapo kwenye kitanzi, tumia bendera iyo itatuma ujumbe kunako, tuliobbaki tutajua kifuatacho
 
kwa kuwa mkweli na kutoa ushauri mzuri hivi wa kuokoa ndugu zangu wasipotee?
Unaishi nchi gani?
Km ni hapa inamaana watu kutekwa kupotea kubakwa na kuuwawa huyajui?
Nakuuliza huyajui matukio hayo?

Na km unayajua ulizuiaje watu wasipotee?
 
Ndugu yangu Chacha Ryoba Samwel wa Gamasara amepigwa Risasi akiwa anachunga punda wake,halafu Wapumbavu wanakwaambia kutakuwa na maridhiano,hayo Maridhiano Samia akayafanye na Steve Nyerere but for me,lazima nilipe kisasi!


The Day Count on!
 
Hii mbinu ya kulainisha watu na kufanya hii ya 29 oktoba iwe nyepesi, waliohusika kutokuwajibika.

Viongozi wa dini, wanasiasa ndio watasukuma sana hii ajenda l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…