PostGE2025 Napinga maridhiano na wauaji wa makusudi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maridhiano muhimu ila kuwe na condition, tumepoteza watu wetu sawa awatorudi, ila wale wote waliofanya hivyo vitendo wawajibike bila kuoneana aibu.

Msipotaka mariadhiano mkiwa na demand zenu,mnataka nini tena?
 
tulia wewe michezo hii
 
Uchaguzi urudiwe, watupatie katiba mpya na waliohusika kumwaga damu za ndugu zetu wawajibishwe haya ndiyo maridhiano tutakayo kama hawataki hivi basi wasitunafkie.
 
Umma tutafanya maridhiano ikiwa tumedhibiti nchi kwa mauwaji yaliyofanyika hakuna cha amani mpaka tuwawajibishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…