Napinga Njama zozote za kuwarejesha Wasaliti Chadema akiwemo Dkt Slaa na Halima Mdee, Walishafukuzwa na Baraza Kuu

Tunamtaka tL ake mikakatì uhsi kwa chama iwe endelevu asiwe radical ....mwanaharakati chama kitakufa awe muda sana maendeleo ya chama ni zaidi fanikia kuubwaa yahittaji matunzo kila sikuui......covid suala la muda tu.....tutajua yoote
 
Kama mlimuosha lowassa sliyekuwa ananuka kinyesi cha rushwa ya richmond na lissu kuandaa list of shame akakomaa mishipa ya shingo kuisoma mwembe yanga,mwenyekiti mpya hulala na kuamka na maamuzi yake atawaruhusu tu rejea kauli ya Lema!
 
Wivu
 
Kama mlimuosha lowassa sliyekuwa ananuka kinyesi cha rushwa ya richmond na lissu kuandaa list of shame akakomaa mishipa ya shingo kuisoma mwembe yanga,mwenyekiti mpya hulala na kuamka na maamuzi yake atawaruhusu tu rejea kauli ya Lema!
nje ya mada
 
COVID 19 - BIG NO, WASIRUDI KABISA NA WAKIRUDI NITAIDHARAU SANA CDM NA NITARUDI KWENYE MSIMAMO WANGU WAKUTOPIGA KURA 2025.

DR SLAA - Suala lake linazungumzika maana lina pande mbili, chama kilimkosea nae akakikosea, kifupi wamekoseana na ujio wa EL ndio ulileta shida zote zile, USAJIRI WA EL ULIWAKWAZA WENGI NIKIWEMO MIMI, ULE USAJIRI ULIKIVUA NGUO CHAMA.
 
Naunga mkono hoja.
 
Ni ukosefu wa fikra kuwarejesha wahaini.
 
Kwani ume
Ambiwa hawa ni shetani. Shetani hii ni siasa Na ujue kuwa hawa ndiyo wameleta rudhuku ya milioni 107 kila mwezi kama mmekubali kuchukua rudhuku mnashindwa nini kuwarudisha huo ni unafiki.
 
Kapinge kwenye vikao vyenu huko, hapa unatupigia kelele.
Kiuchambuzi: kumsamehe Mdee ni faida kwa chama kuliko kumkataa.
Isitoshe Ruzuku iliyotokana na usaliti wa Mdee imelisaidia chama kujenga jengo la ofisi, kulipa posho na mshahara ya maafisa wa chama na kugharamia uchaguzi.
Kwa chama kukubali kupokea Ruzuku kutokana na Mdee; tayari chama kilishamsamehe.
Vinginevyo rejesheni Ruzuku zote
 
Usikute na ushauri wako unakosa nguvu kwa sababu hiyohiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…