Napinga Njama zozote za kuwarejesha Wasaliti Chadema akiwemo Dkt Slaa na Halima Mdee, Walishafukuzwa na Baraza Kuu

Ulishaona barua yake ya kuomba kurudi Chadema? Kihoro Cha Nini bwanamdogo?
 
Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa.yeyote muda wowote anaweza kuwa rafiki au adui yako.

Maisha yenyewe mafupi afu unataka kujibebesha mizigo
Tatizo wengine wanahisi siasa ni kama maisha ya mbinguni ambako ukiwa na dhambi huruhusiwi
 
Una point Mkuu, usikilizwe.
Mbaya sana kumrejesha msaliti
 
DR. SLAA SIO MSALITI.

Dr alisimamia msimamo wake Mbowe ndio alisaliti kumleta Edo kugombea Urais kupitia CDM.

Pambaneni na C19.

Dr.Slaa atabaki kuwa na heshima yake kwa msimamo wake.
 
Kuna hakika gani hawatasaliti tena?
 
Washajutia makosa Yao ya kusingiziwa ambayo Lissu kutumia kumuengua Mwenyekiti aliyepita.
Kweli we juha:
Kwanza unasema wanajutia makosa yao halafu ya kusingiziwa, kuna anauejutia makosa ya kusingiziwa? Unajua maana ya kujuta?

Pili ametumia kumuengia mwenyekiti aliyepita, hivi mwenyekiti aliyepita alienguliwa? Ina maana hakushiriki uchaguzi? Punguza bangi basi.

Ajenda ya Lissu kwenye kampeni ilikuwa ni covid 19 au no REFORM NO ELECTION?
Pathetic
 
Nkikumbuka ulivokuwa ukimpamba mbowe then ukapiga U-turn kwa Lissu.
Naamini siasa ni ile ile hata uwe upinzani.
 
Umemkomesha, akirudi atakuwa mwehu
 
Pili ametumia kumuengia mwenyekiti aliyepita, hivi mwenyekiti aliyepita alienguliwa? Ina maana hakushiriki uchaguzi? Punguza bangi basi.
Ha hahahaha! Tulia Mkuu, punguza hasira. Msikilize Professor Kitilia Mkumbo akifafanua namna walivyoenguliwa kwenye Chama. Professor alifanya mahojiano na Mwandishi/mtangazaji wa habari wa TV hivi majuzi. Ukimsikiliza vizuri ukamuelewa na Kama kweli u muungwana utajigalagaza huku ukijutia kutumia lugha za kuudhi kujibu hoja iliyokutibua.
 
Nkikumbuka ulivokuwa ukimpamba mbowe then ukapiga U-turn kwa Lissu.
Naamini siasa ni ile ile hata uwe upinzani.
Hukuelewa tu kutokana na ujinga wako, mimi nilimpamba Mwenyekiti wa Chadema na Chadema, kingine ni hiki, waweza kunionyesha nilipomtukana au kumdharau Lissu?

Mimi ndiye ripota wa juu kabisa wa kampeni za Lissu 2020 wakati anampiga Spana Jiwe hadi betri ikazima, mtu usiyemtaka unaweza kumpigania kiasi kile hadi kusakwa na Watekaji wa Jiwe?
 
Profesa wako chizi umemsikia wewe mwenyewe kwenye tv yenu, sina haja ukitaka weka hapa. Maana profesa wako kwenye uchaguzi uliomuingiza Lissu kuwa mwenyekiti hakuwepo CHADEMA. Hizo ndoto zako amka usije ukajikojolea.
 
Hapa ndipo mnapokwama "vishikwambi" wa Chadema. Maana ikishabonyezwa button hamna namna. Mtoke kuwa vishikwambi muwe "akili mnemba" itawasaidia sana.
Na bado mapumbavu ya CCM unaleta hoja za kubumba unafikiri tuko lumumba? Hakuna wajinga wenzio pathetic fool
 
DR. SLAA SIO MSALITI.

Dr alisimamia msimamo wake Mbowe ndio alisaliti kumleta Edo kugombea Urais kupitia CDM.

Pambaneni na C19.

Dr.Slaa atabaki kuwa na heshima yake kwa msimamo wake.
Heshima? Kwa mujibu wako ni sawa. Yeye atabaki kuwa msaliti kama wasaliti wengine. Ukikimbia uwanaja wa vita wewe ni msaliti tu, na hakuna jina jngine la kuupamba usaliti huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…