technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kuna haja gani kusema elimu ni bure ilhali tunakopa kwa mabeberu ili kugharamia elimu?
Elimu ya ufundi ndio itolewe bureElimu imekuwa ya mateso kwa wanafunzi, walimu na serikali kwa ujumla. wazazi wamekuwa walevi wamedumaa hawafikirii tena kupambana hata kupata ile elfu 20 tatu vitu vya bure havina uchungu hata kidogo wazazi sasa wamewatelekeza watoto na kuacha majukumu yao nashauri serikali warudishe karo shuleni.
Elimu ya bure iwe ya chuo kikuu na vyuo vya ufundi stadi sio unamsomesha mtu bure anamaliza form four anapata zero anao, anaolewa. Tuache siasa toka elimu bure ianze wawazi wamejisahau sana hawana kabisa uchungu na watoto wao.
Mimi binafsi nalisema ili kwa mzazi anayejitambua hawezi kumpeleka mtoto wake akakae chini.
Hizi ndo siasa sasa..Mfikrie Yohana wa Simiyu aliyesoma kwa tabu na dhiki na pengine bila elimu bure asingesoma kabisa kabla ya kuandika kumfurahisha mbowe
Mfikirie baba yake Yohana, mtu ambaye hatajwi sana, ila bayana kuwa alimtelekeza kijana wake aliyekuja kubainika kuwa ni kipanga hata akakosa fursa muhimu ya kupata elimu ikiwa ni jukumu lake kubwa kama mzazi mwenye kuwajibika.Mfikrie Yohana wa Simiyu aliyesoma kwa tabu na dhiki na pengine bila elimu bure asingesoma kabisa kabla ya kuandika kumfurahisha mbowe