Akiwa Bungeni Dr Bashiru ameitaka serikali kubadilisha mfumo wa kuajiri kutoka Utumishi na kuviachia vyuo vikuu kuajiri. (Namkubusha tu 2019 alikuwa bado ni Magu, na katika hili watumishi wengi waliumia) Utumishi hawana kosa.
Adhma ya jambo hili ni jema lakini, athari zake ni kubwa sana, na litaturudisha nyuma sana.
Naomba mimkumbushe mambo machache yanayonifanya kutokubaliana nae.
1. Ukabila ( Kwa wale wanao ifahamu UDSM) watakubaliana na mimi kuwa hapo awali kulikuwa na ukabila, mkubwa sana (siwezo kutaja kabila, lakini ndio ukweli )
2. Watumishi kukosa haki ya kusikilizwa! Baada ya wizara ya utumishi kusimamia vyuo, watumishi wamekuwa na ahueni kubwa katika kuwasilisha kero zao wizarani na kutatuliwa.
3. Kudharau supporting staff, hili huendana na ubabe hasa kwa watumishi ambao ni supporting, Unakuta mtu ana CPA au Masters level kazi anazopewa aisee (Posting of voucher) kwa watu wa accounts wataelewa level hiyo inapaswa kufanywa na mtu wa leveli ipi.
4. Kuhusu supporting staff, nashauri kama chuo kinataka kujitegemea kabisa na kiachanane na utumishi, serikali itoe nafasi kwa watumishi hasa supporting staff, waliyotayari kuhamia taasisi nyingine wahame, ili UDSM wabaki na cream ya watu wao (Nadhana hapa ndipo wataelewa kuwa watumishi wako na hali gani)
5. Kuhusu kupandishwa vyeo, kwa uzoefu wangu ni kuwa Utumishi wanapokea ikama na kuidhinishwa haraka! Utumishi hawanaga longolongo! Jambo alilolisema Dr, liliwakumba watumishi karibia wote, Mtakumbuka sera za Magufili.
Kwa hili Dr, amewaonea utumishi kwakuwa, wizara wamekuwa haraka sana kushughulikia kero za watumishi,
Msiturudishe kwenye enzi za ubabe na dharau kwa supporting staff