Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Mimi sifwati mkumbo, najua kinachowasumbua Waafrika wengi ni inferiority complex, Mwafrika anafanya jambo ili asifiwe na Muzungu na kamwe hafanyi kwa manufaa yake na watu wake, ukiangalia Waafrika wote wanashangilia Umafia uliofanywa na Mahakama ya Kenya kwa sababu wanataka kuprove kwa Muzungu kwamba nao pia ni Binadamu kwa kigezo cha Muzungu na Raila Odinga kwenye hotuba yake ni kama vile uamuzi huu ni kwa ajili ya kuprove kwa Muzungu kwamba sisi (Waafrika) hatuko wanavyotufikiria!
Kwangu mimi Katiba ya Kenya ni mzigo kwa nchi hiyo, fikiria wanakwenda kufanya Uchaguzi mwingine ndani ya Miezi 3, nani analipia hiyo gharama? Nchi ya Kenya hata chakula kwa watu wake ni shida kwa nini wasiwekeze hiyo fedha hata kwenye Kilimo? I mean matokeo hayatakuwa tofauti Wakikuyu 100% watampigia Uhuru Kenya, sasa kwa nini kupoteza fedha?
Ikumbukwe huyo Raila Odinga alisema ,,this time we will not go to court" na akaendelea kusema haiwezekani Matakwa ya Wakenya yaamuliwe na watu 7 akimasnisha Mahakama, lkn leo hii anasimama na kujigamba kwamba Mahakama ya Kenya imemuonyesha Muzungu kwamba inaweza kutoa haki kwa sababu tu imeamua alivyotaka yeye, vp khs sasa Mamilioni ya Wakenya waliomchagua Uhuru Kenya? Mbona wao wamenyimwa haki yao na watu 7 tu?
Isitoshe kwenye Nchi masikini kama Kenya haiwezekani kuwa na free and fair election kwa 100% ni lazima kutakuwa na matatizo tu, hata huo uchaguzi wa marudio kama Raila Odinga akishindwa na itatokea hivyo hatokubali atarudi Mahakamani tena na ushahidi mwingine ambao ni rahisi kuupata na kuita Uchaguzi mwingine tena, na Je watarudia chaguzi ngapi? Na nani atalipia hiyo gharama?
Of course kwa Muzungu ni win -win situation kwani anapata tenda za kusupply kila kitu kuanzia karatasi za kupigia kura mpaka computer!
Hivyo kwa maoni yangu sijaona chochote cha kufurahia wala kujifunza isipokuwa tu ni Blackman trying to prove his worthy to a Whiteman, hkn kingine, hata hotuba ya Raila Odinga baada ya Uamuzi wa Mahakama mlengwa hakuwa Mkenya wa Kibera bali ni International community aka Muzungu!
Fikiria nchi yote imesimama mwaka mzima kufanya uchaguzi usiokwisha, Nairobi stock exchange imesimama, sasa wanaanza Kampeni tena hivyo hkn kazi mpaka 2018, nani analipia hii gharama?
Kenya hali siyo shwari kama mnavyodhania, ndiyo Muzungu atasifu lkn kuna wimbi kubwa la tsunami linakuja upande wenu, Muzungu alitawala Afrika hakuruhusu hiyo Demokrasia mnayojaribu kumridhisha nayo na kulikuwa na sababu kwa nini hakuruhusu huu ujinga kwani maadamu watu bado ni masikini hata mahitaji ya lazima kama chakula hakuna huwezi kuwa na demokrasia, Muzungu anajua kwamba ,,a hungry man is not a free man" , ...