sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
tusingemlaumu zolan maki kama sabu ingetupa matokeo tuliyoenda nayo, tukumbuke kuwa hayo ndo matokeo ya dakika90 na ilikuwa razima mmoja acheke na mwingine alie.
Zoran alikuwa sahihi kabisa kuwatoa Clatous Chama na Sadio Kanoute kwa nini ?
Baada ya Prof. Nabi kuutegua mtego wa Zoran kwa kuwaingiza Moloko na Bm33 kisha Aziz Ki kwenda (10) na Feisal kurudi (08) = Aziz Ki + Feisal + Aucho,, Kiungo cha Simba kilizidiwa uwanja ukainama.
Chama ni mzuri sana timu ikiwa na mpira, lakini haipi balance timu inapokuwa haina mpira (HAKABI). Kumtoa ndio ilikuwa option sahihi ili kuipa timu BALANCE. ✅
Kanoute 🇲🇱 tayari alikuwa na kadi ya njano, akawa anaendelea kufanya madhambi,, Zoran aliona ni ku-RISK kumbakiza kwenye pitch kwani muda wowote angeweza kuoneshwa kadi nyekundu.
Bora kumtoa kuliko kuhatarisha idadi ya namba ya Wachezaji uwanjani ukizingatia Aziz Ki kucheza (10) ilimpa mtihani Kanoute akajikuta anafanya rafu nyingi. Kumtoa kwenye pitch ilikuwa option sahihi ✅
Mashabiki wanatakiwa wakubali kuwa Yanga walikuwa bora kimbinu na hawatakiwi kumlaumu kocha Zoran Maki.
Hivi mfano ; Sub alizofanya kwa kuwaingiza OKWA + OKRA & MZAMIRU zingezaa matunda nani leo angemlaumu Zoran ?
Asingewaingiza Okra, Okwa na Mzamiru halafu Simba ingefungwa si MNGEMLAUMU TENA KWA NINI HAKUWAIINGIZA mafundi Okra na Okwa ?!
Kwani mara ngapi Yanga kashinda na CLATOUS CHAMA akiwa kwenye pitch ? Mzee Zoran mnambebesha lawama za bure, muacheni afanye kazi yake.
Taaluma iheshimiwe tafadhali ... ✍️
Kidogo naweza kuwaelewa kwenye sub ya kumtoa Kiyombo na kumuingiza MZUNGU !