Napingana na mashabiki wenzangu wa Simba wanaomlaumu kocha Zoran Maki kwa kuwatoa Chama na Kanoute

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
tusingemlaumu zolan maki kama sabu ingetupa matokeo tuliyoenda nayo, tukumbuke kuwa hayo ndo matokeo ya dakika90 na ilikuwa razima mmoja acheke na mwingine alie.

Zoran alikuwa sahihi kabisa kuwatoa Clatous Chama na Sadio Kanoute kwa nini ?

Baada ya Prof. Nabi kuutegua mtego wa Zoran kwa kuwaingiza Moloko na Bm33 kisha Aziz Ki kwenda (10) na Feisal kurudi (08) = Aziz Ki + Feisal + Aucho,, Kiungo cha Simba kilizidiwa uwanja ukainama.

Chama ni mzuri sana timu ikiwa na mpira, lakini haipi balance timu inapokuwa haina mpira (HAKABI). Kumtoa ndio ilikuwa option sahihi ili kuipa timu BALANCE. βœ…

Kanoute πŸ‡²πŸ‡± tayari alikuwa na kadi ya njano, akawa anaendelea kufanya madhambi,, Zoran aliona ni ku-RISK kumbakiza kwenye pitch kwani muda wowote angeweza kuoneshwa kadi nyekundu.

Bora kumtoa kuliko kuhatarisha idadi ya namba ya Wachezaji uwanjani ukizingatia Aziz Ki kucheza (10) ilimpa mtihani Kanoute akajikuta anafanya rafu nyingi. Kumtoa kwenye pitch ilikuwa option sahihi βœ…

Mashabiki wanatakiwa wakubali kuwa Yanga walikuwa bora kimbinu na hawatakiwi kumlaumu kocha Zoran Maki.

Hivi mfano ; Sub alizofanya kwa kuwaingiza OKWA + OKRA & MZAMIRU zingezaa matunda nani leo angemlaumu Zoran ?

Asingewaingiza Okra, Okwa na Mzamiru halafu Simba ingefungwa si MNGEMLAUMU TENA KWA NINI HAKUWAIINGIZA mafundi Okra na Okwa ?!

Kwani mara ngapi Yanga kashinda na CLATOUS CHAMA akiwa kwenye pitch ? Mzee Zoran mnambebesha lawama za bure, muacheni afanye kazi yake.

Taaluma iheshimiwe tafadhali ... ✍️

Kidogo naweza kuwaelewa kwenye sub ya kumtoa Kiyombo na kumuingiza MZUNGU !
 
Wewe utulie tu ni swala la mda viongozi na wachezaji tunaanza kuwapopoa mawe na makopo ya mikojo
 
1. NABI SIO PROFESA.
2. UNAMUACHAJE JUKWAANI PHILI.????
3.AZIZI KI ALIPASWA AKABWE NA MKUDE SIO KANUTE.
4.UNAMUACHAJE AKPAN BENCHI?????
5. BANDA ANATAFUTA NINI SIMBA?????
6. KAPOMBE ANAKAAJE BENCHI????



6 hii ni copy na kipaste kwa ambangile.
BILA MANZOKI NA 6 SIMBA WATAUMIA SANA MSIMU HUU
 
Sasa wqlitaka ashindwe nani wakati mpo wawili lazima mmoja apopolewe!
 
Simba waache upuuzi. Timu haikuwa vizuri wakubali tu.

*Goli la Simba lilikuwa la Offside, refa akawasaidia.
* Mchezaji mmoja wa Simba alistahili red card ya hakika kabisa. Refa akapeta.
 
Makolo pamoja na kufungwa lakini bado kila dk mnapost humu,mngeshinda mngepost kila sekunde dadadeki πŸ˜‚
 
Nabi daktari yule.
Maendeleo hayana chama acha nicheke...
 
Uko sawa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…