ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Watu wenye nyota kali ndio tunaopitia hizo shidaMimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.ππ Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.
Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.
Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.
Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.
Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.
Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.
Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.
Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Natamani kukuandikia Kwa urefu hapa ila muda ni Mchache...!Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.ππ Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.
Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.
Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.
Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.
Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.
Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.
Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.
Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Ni mtu kakuhadithia ukaileta kama ilivyo au ulimtumia mtu ukimwomba ushauri kisha ukaicopy tena ilivyo ukaleta humu au... Jiongezee majukumu ya kukuweka bize ili usipate muda wa kuwafikiria walimwenguNateseka sana na hiyo hali kaka yangu,
Pole sana mammy. Hata hivyo hujafikia kiwango cha kuchukiwa kama Yesu alivyochukiwa. Yesu hakuwa na kosa wala tatizo lolote, lakini watu wengi walimchukia, walimtemea mate, walimvisha taji ya miiba, wakamsulibisha msalabani.Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.ππ Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.
Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.
Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.
Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.
Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.
Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.
Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.
Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Hata mi' mwenyewe nina nuksi kama ya kwako. Njoo tuungane tuishi wote wenye nuksi ya aina moja.Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.ππ Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.
Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.
Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.
Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.
Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.
Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.
Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.
Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
relax binti, hivo ulivo ndio inatakiwa iwe kwa dunia ya sasa. Just kila mtu adeal na mambo yake. Usimwambie kila mtu jambo lako cas nowdays privacy is the key. Kua na marafiki wachache na chagua nani wa kumshirikisha nini. Usifatilie mambo yao na wewe wasijue yakwako, wakikuongelesha kinafki na kukuchekea kinafs inawe ufanye the same[emoji4] relax ndo maisha yalivo nowdays.Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.[emoji24][emoji174] Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.
Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.
Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.
Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.
Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.
Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.
Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.
Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Utakua na issue mojawapo kati ya hiziMimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.ππ Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.
Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.
Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.
Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.
Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.
Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.
Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.
Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Toka hapa ,tupo kwenye vitu serious unataka kumwibia hela zake tena kwa maneno ya sadaka .Pole sana mammy. Hata hivyo hujafikia kiwango cha kuchukiwa kama Yesu alivyochukiwa. Yesu hakuwa na kosa wala tatizo lolote, lakini watu wengi walimchukia, walimtemea mate, walimvisha taji ya miiba, wakamsulibisha msalabani.
Nakushauri uamue kuokoka. Ukiokoka, utakuwa na amani tele hata ukichukiwa!
Naomba nikujibu kama Petro alivyomjibu yule...Toka hapa ,tupo kwenye vitu serious unataka kumwibia hela zake tena kwa maneno ya sadaka .