Napiz damu wakati wa tendo.

moghasa

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,254
kuuona mwaka mpya ni jambo la kheri!

hongereni wakuuu, na poleni kwa kusherehekea!

ningeweza kusubili sikukuu ipite lakin mbele ya tatizo ngumu sana kuvuta subira!!!

kama kichwa kinavyojieleza! ndugu yenu tatizo lilinianza mwakajana mwezi may wakati napiga punyeto mara ghafula damu ikatoka pamoja na sperms, mbaya zaid nilivyoenda haja ndogo nilikojoa mabonge mabonge ya damu! baada ya kurudi haja ndogo nyingine mkojo ulikuwa safi!!

Ndugu zangu pia nikikutana na mama yenu kunako kitandani, hususani ingwe ya tatu damu hutoka tena!!

Au nikikosa utelezi wa kutosha hasa nikitumia kondom ndiyo kabisa nachochea tatizo!!!!

wakuu naombeni msaada tafadhari!!

NB. Nilitoka CHAPUTA baada ya tatizo!!
 
Aisse,pole sana mkuu.subir wataalamu waje wakushauri
 
Umebahatika kupata mtoto?
 
hivi mtu unapata faida gani kupost uongo, huo muda uliokaa si bora hata ungewaza jinsi ya kumtapeli mtu upate hela
mkuu hii ni serious kesi!! nimeenda kcmc wamefanya blood and urine culture lakin sikapata nauli ya kurud niko mbali na moshi!
 
hivi mtu unapata faida gani kupost uongo, huo muda uliokaa si bora hata ungewaza jinsi ya kumtapeli mtu upate hela
mkuu hii ni serious kesi!! nimeenda kcmc wamefanya blood and urine culture lakin sikapata nauli ya kurud niko mbali na moshi!
Umebahatika kupata mtoto?
nna mtoto mmoja mkuu!
 
Naheshimu sana hili jukwaa kama sehemu isiyo ya masihara!! ukihisi nadanganya basi hujui shida yangu ikoje afadhar ukae kimya nipewe msaada na wajuwao! hapa sio MMU au chit chat!!

asanteni wakuu!!
 
Acha kupiga punyeto ukiendelea kufanya hivyo utapoteza maisha kwa maradhi ulo nayo
 
Google herballove website then soma kuna kila information kuhusu punyeto na utawakuta watu wengi walioathirika na punyeto wanashauriana.
 
mkuu hii ni serious kesi!! nimeenda kcmc wamefanya blood and urine culture lakin sikapata nauli ya kurud niko mbali na moshi!
nna mtoto mmoja mkuu!
kamuone daktari haraka iwezekanavyo la sivyo madhara yanaweza kuwa makubwa sana na hata ukaja zaa viumbe vya ajabu.
 
Rudi kcmc ukachukue majibu ya vipimo vyako.
 
Www.herballove.com soma kwa makini na uelewe itakusaidia sana. Wasome wenzako ambao wako kwenye safari nzito ya recovery ya punyeto na porn induced Erectile Disfunction, utanufaika kupitia wao. CLICK MEN'S CONDITION, THEN CLICK OVERMUSTURBATION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…