Napoendelea kutafuta mchumba.Ndugu zanguni nahitaji msaada wenu maana hili naona linaniathiri kiasi flani

Jamaa wewe ni mwakilishi wa wanaume wa kiafrika. Hongera sana. Chapa mwendo tu...ila daaah mastory yako yanasisimua ile kinyama....uwe unatuletea stories za usiku za kulalia
 
Ha ha ha.... Komeo... Upo?

Jamaa wewe ni mwakilishi wa wanaume wa kiafrika. Hongera sana. Chapa mwendo tu...ila daaah mastory yako yanasisimua ile kinyama....uwe unatuletea stories za usiku za kulalia
 
Aseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…