Napofanya manunuzi mtandaoni natakiwa kulipia kodi tena?

Napofanya manunuzi mtandaoni natakiwa kulipia kodi tena?

Free-zy

Senior Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
135
Reaction score
78
Naomba kuuliza,

Kama nikinunua chochote online kwa mfano Aliexpress, je katika kupokea mziogo wangu posta nahitajika kulipa kodi au malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive?
 
malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive?
Hapana.

Iwapo mzigo huiska utadaiwa kodi hapa nchini, utawajibika kulipa kwa kadri ya maelekezo utakayopewa.
 
Back
Top Bottom