F Free-zy Senior Member Joined Sep 30, 2015 Posts 135 Reaction score 78 Mar 7, 2023 #1 Naomba kuuliza, Kama nikinunua chochote online kwa mfano Aliexpress, je katika kupokea mziogo wangu posta nahitajika kulipa kodi au malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive?
Naomba kuuliza, Kama nikinunua chochote online kwa mfano Aliexpress, je katika kupokea mziogo wangu posta nahitajika kulipa kodi au malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive?
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Mar 7, 2023 #2 Free-zy said: malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive? Click to expand... Hapana. Iwapo mzigo huiska utadaiwa kodi hapa nchini, utawajibika kulipa kwa kadri ya maelekezo utakayopewa.
Free-zy said: malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive? Click to expand... Hapana. Iwapo mzigo huiska utadaiwa kodi hapa nchini, utawajibika kulipa kwa kadri ya maelekezo utakayopewa.