white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
chelsea yapata kipigo toka kwa napol,ktk michuano ya kombe la uefa.kwa timu hii hata wafanyeje,inaonekana kama kuna mgomo baridi hivi,yaani wachezaji hawajitumi kabisa!nadhani kocha wa chelsea amekalia kuti kavu.kwa msimu huu nadhani hakuna timu ya england itakayo onja robo fainali,ki2u ambacho ni nadra sana kwa kipindi kirefu sana.bora mi nipo uefa ndogo(europa).bora tukose wote.