Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Masaa 48 baada ya Victor Osimhen kutangazwa kama mchezaji mpya wa Galatasaray, Napoli imepoteza zaidi ya wafuasi milioni 1.2 kwenye Instagram baada ya Victor Osimhen kuondoka katika klabu hiyo.
Wakati huo pia Klabu ya Galatasaray imepata wafuasi zaidi ya milioni 2 kwenye Instagram ndani ya saa 48 baada ya kutangaza usajili wa Osimhen.
Wakati huo pia Klabu ya Galatasaray imepata wafuasi zaidi ya milioni 2 kwenye Instagram ndani ya saa 48 baada ya kutangaza usajili wa Osimhen.