Napoteza kibarua changu msaada tafadhali

I think you have done something wrong on the way, i hope could help through the phone step by step and you could solve your problem. If you think you can drop your number to call you or add me on facebook then i can help step by step
Nitashukuru sana Mkuu kama utanisaidia kwa njia ya simu....Unatumia Username gani kwa FB?
 
I dont think so kama ni case
 
Kwanza chomoa hard disk yako, chukuwa hiyo laptop iliyobaki, tafuta robo lita ya mafuta ya taa, kiberiti kizuri, mwagia mafuta ya taa kwenye hilo laptop, washa kiberiti, ichome moto. Rudi nyumbani lala na sahau kabisa hilo jambo, siku ya pili nenda kazini kaombe laptop mpya, waeleze step by step ulivyofanya na kwa nini unahitaji laptop mpya.

Ukifukuzwa kazi, nitafute.
 
Nenda mapema kesho kwa watu wa files recovery watakurudishia data zako zote.
Asante... Sijakata tamaa bado naimani nitalifanikisha ili mwenyewe kwa msaada wa wataalamu wengine hapa.
 

Dah! mwenzio anahofia data zilizomo wewe unahofia machine!!!!!!!!!!!!!
 

Hah! hah! hah! ushauri mzuri kwa kwel!i..... Ila nikifukuzwa kazi na kuletea familia yangu kwako:Cry:.....
 
Huu ujinga mi sitaki kabisa unitokee,nime sava files zangu kila sehemu, nina about 3 USB ambazo zina same files, external hard drive na nimesave kwenye pc pia,kwahiyo kimoja wapo kikigoma nakuwa sipati kichaa,kila nikiingiza file mpya lazima nisave kila sehemu.
pole sana ndugu yangu.
 
soma articles hii inawezakukusaidia
Cannot Access File On External Hard Drive | TheDailyReviewer
http://www.windowsbbs.com/windows-xp/21365-denied-access-files-no-security-tab.html
http://www.techspot.com/vb/topic128218.html

Kuna watu walishaumiza vichwa kwa matatizo kama haya . ni kuyatafuta tu


lakini umetoa maalezo ya problem bila kusema hiyo HDD ilikuwa katika enviroment gani I ean OS gani na File system gani ilikuwa inatumika kwenye hiyo HDD. Lakini katika hizo option nahakika moja itafanya kazi

Lakini ukipunguza munkari uka google maneno sahihi utapata suluisho.


Kama walivyokushauri baadhi waliotangulia na link nilizokupahapo juu huyu anatoa fedbakc alipata tatizo kama lako akalitatua bila shida


Tupe feedback
 
Safi sana mkuu, hiyo ndio solution pekee ya kuepukana na matatizo haya....Mkuu laiti ungeniona nilivyo changanyikiwa ungenionea huruma,toka usiku sijalala naangaika na hii kitu, unadhani ni mchezo nimekumbuka hadi JF maani nina karibu mwaka sijakanyaga nyumba hii..
 

Mkuu HDD nilikuwa nime-Install Windows XP sp2 na Files zote nilikuwa nimeziweka my Document... File system ni NTFS.
 
Mkuu HDD nilikuwa nime-Install Windows XP sp2 na Files zote nilikuwa nimeziweka my Document... File system ni NTFS.

Ok sasa nimengeza link nyingine hapo juu. jaribu kuzifanyia kazi. Some adivice ya wataaalam sound to be good..

Tembelea toshiba pia au manuffacture wa hiyo HDD (sijui ni kampuni gani( inawezekena sio tatizo kubwa sana wanaweza kuwa wana free tools za kuifanyia diagnoisis na kurecify tatizo.

Umejaribu na command za Chkdsk za windows?
 
run live cd ya ubuntu, halafu jaribu ku mount hiyo Hdd na utupe majibu.
 
nimeanza kuwa na ugonjwa wa moyo baada ya kuanza course ya IT, yaani nilikuwa na ki USB kimoja,basi niki ka miss place napata wazimu,nikaona shida yote ya nini, kwahiyo nikafanya maarifa hayo yakuwa na USB 3 na hard drive.

hope so far utakuwa umefanikiwa.
 

Option nzuri ya back up ni kuwa na mafaili yako muhimu kwenye network . How
Unaweza kusave

Hii njia ni nzuir kwani hata kama umesahu USB ukiingia net unapata file lako regardless wapi upo . Vile vile ni rahisi kufanya update kuliko kuwa na USB tatu au nne
 
Jamani msaidieni kaka hapa, mbona naona mnaendeleza maada nyingine!!!
 
Bwabwa wewe utakuwa...
 
nakuombea ufanikiwe mkuu, tatizo la virus liliwahi kunipata pia lakini mambo yalikuja kuwa mazuri kwa msaada wa washkaji. Naamini utafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…