Napoteza sana pesa!

Napoteza sana pesa!

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
1,792
Reaction score
3,075
Habari ndugu na jamaa!

Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa imeenda wapi.

Nina matumizi yasiyo ya lazima,hadi inaniumiza maana nakuwa nauona mwisho wangu sio mzuri. Nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.

Mfano wiki iliyopita nimepata 120000 nje ya mshahara toka kwa mihangaiko mbadala,siku tatu baadae sina hata mia.

Sinywi pombe,sihongi,sivai sana,chakula matumizi madogo kabisa.

Naombeni njia mnazotumia kujibana na kutunza fedha,nizitumie maana hii hali mwisho wangu utakuwa sio mzuri.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tatzo nilijua ninalo mwenyewe kumbe tuko wengi..., Sinywi pombe, sivuti sigara Wala bangi Nina Safari nyingi za kikazi nje ya mshahara

Million Moja ndani ya wiki nakuwa nshaimaliza, mpaka mda mwingine nakuw sijiielewi
 
Hili tatzo nilijua ninalo mwenyewe kumbe tuko wengi..., Sinywi pombe, sivuti sigara Wala bangi Nina Safari nyingi za kikazi nje ya mshahara ... Million Moja ndani ya wiki nakuwa nshaimaliza, mpaka mda mwingine nakuw sijiielewi
Tusubiri msaada wa mawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami ngoja nisubiri mawazo pesa haishikiki na hamna tangible things zilizopo kutokana na mtonyo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa haiwezi kuisha bila matumizi. Wekeni hapa matumizi yenu tuyaone

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
Mkuu, kila siku jaribu kuweka record ya kila shillingi unayotumia kwenye Excel spreadsheet au hata kwenye daftari. Spreadheet iwe kama petty cash book na iwe na columns kama - chakula, nauli, kodi, umeme nk. Kila shillingi unayotumia unairekodi. Mwisho wa mwezi utapata picha ya matumizi ya hela yako na pia utapata kujua wapi unatumia hela sana na kutafuta jinsi ya kubana matumizi..
 
Asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nini jifunze kuweka akiba,toa kwanza pesa ya akiba inayobaki ndo uitumie.toa peleka hata bank au fungua fixed account.Ukipata toa hela weka huko then bakiza ya matumizi yako ya muhimu tu.Kuwa na nidhamu tu katika matumizi yako ya pesa.
 
Habari ndugu na jamaa!

Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa imeenda wapi.

Nina matumizi yasiyo ya lazima,hadi inaniumiza maana nakuwa nauona mwisho wangu sio mzuri. Nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.

Mfano wiki iliyopita nimepata 120000 nje ya mshahara toka kwa mihangaiko mbadala,siku tatu baadae sina hata mia.

Sinywi pombe,sihongi,sivai sana,chakula matumizi madogo kabisa.

Naombeni njia mnazotumia kujibana na kutunza fedha,nizitumie maana hii hali mwisho wangu utakuwa sio mzuri.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Adui anakushambulia kwenye Ulimwengu wa roho..nenda kanisani wakuombee hiyo roho inatakiwa ivunjwe kwa damu ya Yesu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mpo wengi ambao hela hamjui ina faida gani kwenu
Sasa itabidi mjikusanye mfungue kampuni pamoja hapo mtajua thamani yake

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hili tatzo nilijua ninalo mwenyewe kumbe tuko wengi..., Sinywi pombe, sivuti sigara Wala bangi Nina Safari nyingi za kikazi nje ya mshahara

Million Moja ndani ya wiki nakuwa nshaimaliza, mpaka mda mwingine nakuw sijiielewi
Uwe unanipa nikutunzie
 
Back
Top Bottom