KANDUDI RAYMOND
Member
- Aug 29, 2014
- 91
- 3
Wakuu mwenzenu ,kila inapo itwa ucku huwa napata taabu sana kuhema, na pia muda mwingne kwenye koo kunakuwa kama kuna k2.nilisha ingizaga kdole kooni ,nina hic kama ---- vipele vdogo sana.Pia nikpenga makamasi yanatoa harufu,Kila mda natema kohoz y?