Unarudi kinyume nyume kwani wee mchawi?? Maana nasikia wachawi ndio zao kurudi kinyumenyume. Inaonekana kama sio mgeni vileeee!!!!!!!!!! Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!! Nahisi ka umebadili jina na kujisajiri upya.
Anyway, hapa JF mambo ni shwari. Kinachoendelea sasa hapa ni kampeni za uchaguzi mkuu oktoba 31, 2010.