Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Kesho asubuhi na mapema naenda nyumbani dom city. Naenda kuwa mwanaume wa mkoani kwa kipindi cha miezi miwili na baada ya hapo nitakuwa mwaname wa dar tena. Naweza sema mimi ni half-cast wa mwanaume wa dar na mkoa😃😃😃😃
Mwanaume wa mkoa (dodoma) kama hamjawahi kula chips yai, bugger, pizza, mahindi ya kuchoma yenye limao na pilipili, miwa ya pakti😃😃, nakuleteeni muonjepo na ninyi. Kama hamjawahi kuliona daraja la kigamboni, daraja la tazara ( nasikia inaitwa fly-over) na magari ya mwendo kasi..picha zipo za kutosha, nitawapa muone nanyi msafishe macho. Mkipenda na body spray nitakuleteeni.
Na nyinyi wanaume wa dar nikirudi nitakuleeteeni ubuyu ulio kwenye tunda lake (please msije mkadhani ni kibuyu cha mganga wa kienyeji), nitakuleeteeni unga wa uwele muwapie wake zenu wawapikie ugali ( ila sijui kama wataweza kupika ugali wa unga wa uwele), ntakuleteeni mlenda original, na matuda ya asili kama fulu, mpelemehe, udawi, susuntha, nakadhalika.
Yote kwa yote, tuombeane uzima tu.
Wenu,
Half-cast wa mwaname wa dar na mkoani.