Narudia kuangalia season ya Merlin. Aisee Guenevere alikuwa penda penda mno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Narudia kuangalia season ya Merlin. Aisee Guenevere alikuwa penda penda mno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndiyo kuna Dragoni anaongea halafu anabusara kichizi? Nilishindwa hapo tu.πŸ˜‚
 
wheel of time ni kali sana sema imeisha kirahisi rahisi sana
 
Duh kwel muda
Nakumbuka hio ilikua ikitoka bbc jumatano tunashinda nkurumah kudowload kwa free wifi kipande kimoj kimoj
 
Japo kijakazi ila ndio mzuri kuliko wote...Yule amafit kuwa mpambe wa mtoto wa kike wa mfalme ile ndio hulkq yao ya kucheka na kila mtu ,halafu kama waoga fulani.
 
Back
Top Bottom