Narudia tena, CHAMA ni mchezaji wa mechi ndogo

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ulishawahi kujiuliza kwa nini huyu dogo anafanya vyema sana akiwa anacheza na timu za mikoani? Hivi kwanini akiwa nje ya Lupaso hana maajabu sana?

Ushawahi kujiuliza kwanini ameshindwa kuperfom vyema kwenye medani za waarabu tena nyakati mbili tofauti?

Yea. Jibu ni "Huyu ni mchezaji wa mechi ndogo" yaani uwezo wake unategemea pakubwa mapungufu ya mpinzani. Dogo hajawahi kutoa "WOW" type of perfomance katika medani kuu za soka barani afrika.

Yaani kiufupi ndio hivyo. Ndio maana hajawahi hata kumaliza dakika 90 kwenye Kariakoo Derby yeyote ile aliyo cheza, licha ya uwezo wake mnao uona kila siku.

Kibaya zaidi hana uwezo wa kuibeba timu, yaani timu ikiwa katika hali ya kuhitaji individual brilliance Chama hawezi kukupa hiko kitu.

Ni sawa kuonekanaa anaweza weza pale Simba kwa sababu klabu kwa sasa haina kariba ya wachezaji wa hadhi ya juu.
 
Mkuu mbona umejiwahi sana?


Au ndio Kinyesi kinawahi kutoka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Unaruudia wewe kama nani? Aziz Ki ana assist na magoli mangapi?
 
Mchezaji anayepata namba kwenye timu Mbovu akienda Yanga hata sub akai kwa sasa
 
Hivi wewe unawashagwa pahala gani na wapi kuihusu Taifa Kubwa

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Cry more dear uto [emoji4]
 
Chama hamna kitu pale.. Tutaendelea kiwadedesa Hadi Wakimbie nchi mwaka huu
 
Umesahau aliwafanya nini pale kwa Mkapa kile kipindi cha kwanza mlipoutafuta kwa tochi, mkaja kupumua baada ya kocha kumtoa, uto una kumbukumbu fupi sana.

Leo huku kwetu ni mlete..... mlete.....mlete...!!
Mlete mzunguuu
 
Sawa dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…