Narudia tena, CHAMA ni mchezaji wa mechi ndogo

Umesahau aliwafanya nini pale kwa Mkapa kile kipindi cha kwanza mlipoutafuta kwa tochi, mkaja kupumua baada ya kocha kumtoa, uto una kumbukumbu fupi sana.

Leo huku kwetu ni mlete..... mlete.....mlete...!!
Chama hajamfanya mtu yoyote kitu chochote hatukumbuki chochote zaidi ya makombe yamejaa kabatini , Kolo Fc hamna cha kutuambia lete mzungu wewe mavi ya kale hayanuki acha ubishoo tufungeni hivi sasa kuna Rais Injinia kama mnaweza @/#&&£=*"
 
Chama huyu huyuu alowahenyesha Kaizer chief hapa Lupaso
Chama huyu huyuuu alowahenyesha Ahly taifa hapa
Chama huyu huyuuu alowalaza na viatu As Vita hapa taifani na akatupia kamba ya millenia
Chama huyu huyuuu alowahenyesha na kuwatungua Nkana hapa Lupaso
Vijana muwe na heshima mjue na heshimuni watu
 
Chama huyu huyu ambae mpira ulimshinda kwa waarabu Berkane akasugua benchi mwaka mzima ila TK Master akatusua!! Chama huyu huyu ambae Nabi kampoteza mechi za derby!!
 
Ondoa hii kitu kiongozi


Simba sc 2 vs As Vita 1. Chama anaipeleka simba robo CAF CL 2019/2020


Simba sc 3 vs Kaizer chief 0 chama aliupiga mwingi sanaaa


Acha kanisaaaa deitoto mechi na Rivers United alishindwa kuamua mechi
 
Jitahidi kutumia vyakula vinavyoongeza kumbukumbu na hata hivyo Kama anapeform mechi za mikoani kama usemavyo tayari anaibeba timu maana ligi ina mechi nyingi sana za mikoani hizo unazoziita ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…