Narudia tena, hakuna uwanja utajengwa pale Jangwani

Leo imetumika hiyo angle ili msalimiwe na mama yenu na mumshangilie ila nakwambia hakuna uwanja utajengwa pale.
 
Hahahaa.....we jamaa
 
Utajengwa Bunju
 
eneo la jangwani uwanja unajengwa vizuri sana..imekosekana nia na kujitoa na zaidi pesa hapo wapewe wachina uone maajabu..wenzetu majuu wanajenga barabara na reli chini ya sakafu ya baharini magari na treni zinapita spidi..ndo iwe hapo jangwani juu ya uso wa ardhi kwenye iko kimto..wapeni wachina hio kazi watakushangaza
 
Anafurahisha genge tu.

Mleta mada anafikiri tupo zama za mawe kumbe ni zama za teknolojia.

Watu wanajenga baharini seuze hapo jangwani.
 
Maswala ya Yanga waachie wenyewe, tukutane kwenye Derby.

Unamfikiria Yanga ,wakati Mo anawadai bil 89, je mtaweza kumlipa.
 
Nakazia
 
Poleni Mbumbumbu wote kwa maumivu mnayopitia, Yanga ndio inaondoka ivyo.
Mungu ametupa zawadi ya kijana mwenye maono Hers Said.
 
Kuna watu wana hobby ya kutapeliwa.. Hata hivyo tusiwashangae maana rangi zinafanana
 
Serikali ya tz inafanya mambo yake kwa kubalance. Kwa issue yenye public interest kama hii is either of two things: Yanga wanadanganywa kama ilivyo kawaida yao au simba nayo itafutiwe eneo kkoo ijenge uwanja wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…