EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ukimuona bodaboda amening'iniza kamguu pembeni na visendo Halafu amekalia tako moja usipande!!
Halafu anakuwa amevaa kipensi cha jeans , tunywele amesuka rasta huku bodaboda inapiga mziki wa nyimbo za singeli mixer [emoji38][emoji28]... Hawahofii chochote na hawana chakupoteza katika maisha yao. [emoji3526]