Narudia tena, USIPANDE!

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Ukimuona bodaboda amening'iniza kamguu pembeni na visendo Halafu amekalia tako moja usipande!!

Halafu anakuwa amevaa kipensi cha jeans , tunywele amesuka rasta huku bodaboda inapiga mziki wa nyimbo za singeli mixer [emoji38][emoji28]... Hawahofii chochote na hawana chakupoteza katika maisha yao. [emoji3526]
 
View attachment 1850572
Usimkaribishe kwako View attachment 1850573
Narudia tena, usimkaribishe kwako
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaacha kitu kimoja kimoja kwako hadi anakua mke
 
Akifanya yote hayo uliyosema na kusikiliza Bongo fleva anakuwaje?
 
Akifanya yote hayo uliyosema na kusikiliza Bongo fleva anakuwaje?
Mkuu hata sikilize gospo wanaoning'iza sendo wamekanyagia kisigino na kukaa upandeupande washajichokea, tena utawakuna wanalaza boxer barabarani wakati wanapenya katikati ya magari yenye mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…