Narusha jiwe gizani (trial and error)

Herymiller

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
613
Reaction score
860
Wasifu
Mimi nikijana wa miaka 25-30 (Dume/rijali)
Mkazi wa Dar es salaam
Elimu ni shahada ya usimamizi wa fedha na biashara

Natafuta mwenza wa kujifunza nae mambo mbali mbali ya mahusiano kama kukabiliana na wivu katika mapenzi.
Kujua uchungu wa ukisalitiwa au ukiwa na mpango wa pembeni uchungu wake unakuwaje.

Nataka tujifunze kwa vitendo yaani kuanzia kula good time hadi hardtime niko very open minded, so kama unaona uko interested ku explore new advenchelelo unakaribishwa PM

Hii ni trial and error nimegundua watu hawapati nafasi ya kujifunza ndio maana mahusiano yanawashinda kwa sababu waliingia kwenye mahusiano serious bila kupita tuisheni

Niko open kwa mawazo
Any Ideaz
 
Hivyo vitu havina formula ndugu yangu bali hutegemeana na hisia hulka mtazamo na background ya mtu
 
mkuu huu mda veeper ushamaliza zoez?
Bob Sasa hivi nakula pensheni ya kuingia na kutoka gym kuanzia 2013 mpaka 2017.

Worry not though.

Nikirudi itakua kwa mtindo wa Kevin Levrone ni mwezi tu.
 
Haupo serious.

Hivi mapenzi unayachukulia kirahisi rahisi tu. Eti upate kujua ukisalitiwa inakuwaje.

Hiyo ni gambling na maisha yako. Unaweza kuchukulia its just a game but the heart wants what it wants.

Achana na trial error. Tafuta mdada anza nae mahusiano.Give your all. Do not be afraid to fall in love and treat her right.

If you really like her, get married to her.

Look around at all the happily married couples and their children and remind yourself you won't be forever young.

Good Luck.
 
Kule kwetu vijana wa kiume walipotahiriwa, vijana wa kike walifundishwa kutokuwa wa kwanza kugegedwa na hawa vijana waliotahiriwa, sijui ilikuwa ni kwa nini ?
 
Hapo umenihukumu mkuu, nime declare wazi kabisa nataka kujifunza ilitusije kuotezeana muda.
Tuki match tunaenda next step at least nitakua nimepewa chance ya kujua nn kinafatia
Sio kujifanya upo serious wakati una pretend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…