Narusha jiwe gizani (trial and error)

Kule kwetu vijana wa kiume walipotahiriwa, vijana wa kike walifunishwa kutokuwa wa kwanza kugegedwa na hawa vijana waliotahiriwa, sijui ilikuwa ni kwa nini ?
So waanze kugegedwa na wenye mikono ya sweta
Ni ubinafsi tu na roho za chuki za wasiopenda mabadiliko usikute walikua wanafanya defenseve machanizm
 
Hapo umenihukumu mkuu, nime declare wazi kabisa nataka kujifunza ilitusije kuotezeana muda.
Tuki match tunaenda next step at least nitakua nimepewa chance ya kujua nn kinafatia
Sio kujifanya upo serious wakati una pretend
It won't work kama bado utakuwa na mentality ya kujaribu. Na binafsi kama mwanamke nisingekubali because itakula kwangu. In terms of time and love invested.

Unifanyieje majaribio ya kimapenzi for your own interests kama najithamini na kujiheshimu?

Acha uoga. Love is a beautiful thing with all its ups and downs na pia hutaweza kujitoa kikamilifu because utakuwa unawaza heartbreak, un faithfulness.....Anyway, urudi na feedback you never know.
 
So waanze kugegedwa na wenye mikono ya sweta
Ni ubinafsi tu na roho za chuki za wasiopenda mabadiliko usikute walikua wanafanya defenseve machanizm
Sio wenye mikono ya sweeta mkuu, hapa nazungimzia, vijana wa kiume walio maliza kutahiriwa!!! Wasichana wanaambiwa kijana kama huyo asianzie kwake!!!! Sasa sijui walitaka aanzie kwa ma mummy!!!!
 
Sijasema na mfanyia experiments ila tuafanyia majaribio ndio maana ya open minded mkuu,
If she s not satisfied anaweza kwenda kiroho safi and so am i.
Nimetoa chance yaani ni kama probation tusipo wezana kila mtu anaweza terminate haka ka contract.
 
Sio wenye mikono ya sweeta mkuu, hapa nazungimzia, vijana wa kiume walio maliza kutahiriwa!!! Wasichana wanaambiwa kijana kama huyo asianzie kwake!!!! Sasa sijui walitaka aanzie kwa ma mummy!!!!
Inawezeka walitaka akochovye kwa mishangazi yenye chumvi zao, maana vijana ulio wataja wanakua na pulling ya kutosha
 
Mkuu mimi nimependa jinsi ulivyoleta tangazo lako hapa usipo fanikiwa utakuwa bonge la mzembeeee
 
Yaani kutafuta mke tu hadi unaweka CV zako!!!!
Jiamini na ujikubali. Hawa wanawake tumeumbiwa sisi wakiumeni. Hata usipoweka cv zako utampata yeyote na jiamini kwa kuwa hatuna expire date.

Anyway; wishing you all the best.
 
Mkuu so nitoe cv sio
 
Nashukuru kupata ushauri wako mkuu
Ukiwa kama Mtaalam wa ulimwengu wa roho unataka kuniambia chochote kinaweza kutokea any time
Asante kabisa kinaweza kutokea moyo wa mtu ni kiza kinene sana itategemea utatumia kurunzi gani kuumulika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…