Ukweli mtupu.Sheria za maswala ya malezi US zimempa nguvu sana mwanamke,mpaka sometimes wanatumia kama kigezo cha kuwachapia wanaume waliozaa nao.Sasa pata picha miaka 10 hujaonana na mtoto wako,hayo maumivu hayaelezeki,ndio mana sisi wanaume tunawahi kufa mapema sababu tuna mengi sana vifuani tumeyajaza ila tunaamua kukaa kimya.Wanaume wengi wananyanyasika sana,ila ndio hivyo unaamua kufa kiume na maumivu yako moyoni ,ila hili halivumiliki,kwani ukilivumilia utajenga uadui na mtoto wako huko siku za usoni,kwani hujui sumu gani mama anampa mtoto ili kukuchafua wewe.
Well saidWanawake katili sana, mkianza mapenzi inakuwa raha tupu, baada ya mtoto na mifarakano ni ahera, shida..
Mmmmh eti "well said"[emoji15] [emoji15] [emoji15]Well said
Hakika [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106]Wanawake katili sana, mkianza mapenzi inakuwa raha tupu, baada ya mtoto na mifarakano ni ahera, shida..
Tafadhali naomba upitie Instagram wall ya Nas ujionee alichokisema hakika utaumia. Jamaa amevumilia kwa muda mrefu sana.Kweli nyani haoni kundule
Yaani nyie wanaume mnajiliza hapa mnaanini vipi huyo Nas wenu msafi msiwe na double standard yaani ufanye upuuzi wako uchekewe plz wanawake tuendelee kukaza hivyohivyo maujinga ya wazazi mtoto asiyaone fullstop
hapa chumuni alitishaKelis said her milkshake brings all the boys to the yard
Then Nas went and tattooed the bitch on his arm..50 cent
Nas hatii huruma sababu labda anamtaka Kelis bali jamaa anataka haki ya kumuona mwanae na jamaa mpaka mahakamani kesi ameshinda lkn Kelis kaanza utata mpya, anadai walivyokuwa wakidate nas alikuwa anampiga. Sasa siku zote alikuwepo wapi mpaka baada ya jamaa kushinda kesi kaamua kuamisha magoli. Siku zote hata kama mahusiano yenu yalikuwa na migogoro, hamuondolei Nas (mtu) haki yake ya UBABA kwa huyo mtoto, iwe duniani au mbinguni yy atabaki kuwa baba wa huyo mtoto. Nas anachokipigania ni haki yake ya msingi kabisa, haijalishi waliishi vp na Kelis.Teh mnatia huruma kweli mnavyomuonea huruma mwanaume mwenzenu.
Poleni.Nas hatii huruma sababu labda anamtaka Kelis bali jamaa anataka haki ya kumuona mwanae na jamaa mpaka mahakamani kesi ameshinda lkn Kelis kaanza utata mpya, anadai walivyokuwa wakidate nas alikuwa nampiga. Sasa siku zote alikuwepo wapi mpaka baada ya jamaa kushinda kesi kaamua kuamisha magoli. Siku zote hata kama mahusiano yenu yalikuwa na migogoro, hamuondolei Nas (mtu) haki yake ya UBABA kwa huyo mtoto, iwe duniani au mbinguni yy atabaki kuwa baba ya huyo mtoto.