NASA wagundua viashiria vya Uhai huko sayari ya Mars

Maneno huwa yanapindishwa sana.

"sign of life" inaweza maanisha viashiria vya viumbe vilivyokwisha toweka, au visivyo na akili, au visivyoonekana kwa macho.

Ila ni jambo zuri, maswali mbalimbali yanaibuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…