naisha nasri
Member
- Apr 25, 2016
- 67
- 64
Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe imebadilishwa mpaka tarehe 26 october,tena wamekuja na issue nyingine hawamtaki COO wa IEBC,
Nadhani kuna kitu wanakitafuta hawa jamaa,mwenye uelewa please!
Nadhani kuna kitu wanakitafuta hawa jamaa,mwenye uelewa please!