naisha nasri
Member
- Apr 25, 2016
- 67
- 64
Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe imebadilishwa mpaka tarehe 26 october,tena wamekuja na issue nyingine hawamtaki COO wa IEBC,
Nadhani kuna kitu wanakitafuta hawa jamaa,mwenye uelewa please!
Sheria waliyojiwekea inasemaje kuhusu transmission of results from polling station, .... to NAIROBI?Wanajua hawawezi kushinda kwani hata sasa hivi wangekubali masanduku ya kura yafunguliwe zihesabiwe kwa mkono Uhuru ameshinda ila tu majaji walisema (transmission)kurushwa kwa kura kwenda Nairobi walishindwa!!! yaani kura ni sahihi ila kosa ni urushaji!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]majaji wana akili timamu kweli? Marekani wakati wa Bush na AlGore baada ya mahakama majaji walikubali kura za jimbo la Florida kuhesabiwa kwa mkono badala ya mitambo sembuse Kenya!!!!!majaji wamepoteza Kshs billion 10 for nothing kwa kurudia badala ya re counting manually, that is the third world intellectuals.
Sheria waliyojiwekea inasemaje kuhusu transmission?
Si kweli, finality hujaielewa inayoongelewa na interpretation yake. soma hukumu ya majority! ipo humu. au soma hata zile dissenting judgements.... kila kitu kimefafanuliwa vizuriSheria ya mahakama kuu inasema kura za county au za kituo cha kupigia kura ni final na hata kama ikiwa transmitted kwenda makao makuu Nairobi is only for formality no amendment is allowed, ndiyo maana wengitumia busara kurudia kuhesabu kura kule vituoni yaani kufungua masanduku ya kura!!!
Wewe tu ndio uko nyuma huelewi tatizo la top layers ya IEBC. Utawakubalije marefarii ambao wewe umeona ndio wamekuibia ushindi?Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe imebadilishwa mpaka tarehe 26 october,tena wamekuja na issue nyingine hawamtaki COO wa IEBC,
Nadhani kuna kitu wanakitafuta hawa jamaa,mwenye uelewa please!
Good argument, na Mimi nimekuwa nikishangazwa sana na judgement yao.Wanajua hawawezi kushinda kwani hata sasa hivi wangekubali masanduku ya kura yafunguliwe zihesabiwe kwa mkono Uhuru ameshinda ila tu majaji walisema (transmission)kurushwa kwa kura kwenda Nairobi walishindwa!!! yaani kura ni sahihi ila kosa ni urushaji!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]majaji wana akili timamu kweli? Marekani wakati wa Bush na AlGore baada ya mahakama majaji walikubali kura za jimbo la Florida kuhesabiwa kwa mkono badala ya mitambo sembuse Kenya!!!!!majaji wamepoteza Kshs billion 10 for nothing kwa kurudia badala ya re counting manually, that is the third world intellectuals.
Is this a quote from somewhere? So sad man but so true!Nasa is headed by Kenya's own Riek Macha.
Watch him destroy his country.
Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe imebadilishwa mpaka tarehe 26 october,tena wamekuja na issue nyingine hawamtaki COO wa IEBC,
Nadhani kuna kitu wanakitafuta hawa jamaa,mwenye uelewa please!
We vuta subra, Raila achukue dola.[emoji119][emoji123]Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe imebadilishwa mpaka tarehe 26 october,tena wamekuja na issue nyingine hawamtaki COO wa IEBC,
Nadhani kuna kitu wanakitafuta hawa jamaa,mwenye uelewa please!
Si kweli, finality hujaielewa inayoongelewa na interpretation yake. soma hukumu ya majority! ipo humu. au soma hata zile dissenting judgements.... kila kitu kimefafanuliwa vizuri