NASA wapanga kufanya maandamano leo jioni ikiwa maafisa wa tume ya uchaguzi hawataondolewa

NASA wapanga kufanya maandamano leo jioni ikiwa maafisa wa tume ya uchaguzi hawataondolewa

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Muungano wa upinzani (NASA) umesema utafanya maandamano kushinikiza kuondolewa kwa kwa CEO wa IEBIC Ezra Chiloba na maafisa wengine inayowatuhumu kuhujumu uchaguzi wa Agosti 8 ikiwa hataondolewa kufikia Jumatatu ya leo jioni

Chanzo: Daily Nation
 
Watu wamevuruga uchaguzi mpaka uhuru kaporwa ushindi wake bado wanaachwa kuendelea maana yake Kenya mnataka kuvunja amani
 
Kwa h
Kwanini wapinzani Wakiona hawawezi hutafuta njia za kufanya fujo?
Kwa hiyo wanataka anayeshirikiana na NASA na Jubilee watataka anayeshirikiana na Jubilee. Uchaguzi utafanyika?
Jubilee wanamtuhumu Jaji Maraga. Hakuna aliyemtakatifu Kenya, kila MTU amepungukiwa na utukufu.
Lakini wakenya ni hawa hawa wenye kasoro, tutampata wapi asiye na kasoro?
 
Ndio maana nasema katiba yao ni mbovu kwa kuruhusu matokeo ya urais kuhojwa mahakamani vinginevyo yalishaisha siikuuu nyingi
 
Back
Top Bottom