NASA wasema watafanya hakutakuwa na uchaguzi 26 Oktoba na maandamano makubwa zaidi

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Kiongozi wa Muungano wa Upinzania (NASA) Railaudinga amesema wafuasi wake watafanya maandamano makubwa zaidi siku ya uchaguzi tarehe 26 Oktoba ili kuzuia uchaguzi huo usifanyike

Viongozi hao wameendelea kusisitiza Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) haiwezi kuaminika kusimamia uchaguzi utakaokuwa huru na wa haki na wamemtaka mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati kujiuzulu
===========================================
NASA leader Raila Odinga says supporters will hold countrywide rallies on Election Day next week.
Speaking during an opposition rally at Nairobi’s Kamukunji Grounds, NASA leaders insisted that IEBC could not be trusted to conduct a free and fair election and asked its chair Wafula Chebukati to resign.

Na Katiba inamruhusu ama ina ruhusi wakenya wote kufanya maandamano watakavyo wakati wowote ile....bora wamepea watu husika onyo ama ilani (polisi) na IEBC ......
Ndio maana hakuna anaye peleka Raila kortini ama kumshika

Pili Raila Odinga amejitoa katika kiti ya ugombeaji wa urais na hivyo amesihi wafuasi wake wote waliompigia kura ambayo wanasema ni 8.5mn wasipige kura ....

Tatu watu 67 wameuliwa kutokana na vita dhidi ya uchanguzi toka 8th august
Kwa hao watu 13 ni watoto walio na umri kati ya 0-18years

Mtoto wa miaka mbili jana amefanyiwa upasuaji kutoa risasi begani
Shule nne kisumu za chekechea zimelipuliwa na Vitoa machozi wanafunzi watoto wakiwa madarasani wengi wakazirai

Kwa hao wote walio uliwa, polisi ndio waliua 64 of them!!!

Yeah Kenya Hakuna vita vya kikabila ni Polisi kuuwa wananchi...

Reason why i should support jubilees murderers beats me...demonstration is A Constitutional right Guaranteed whether you support Raila or are demonstrating for Raila or Yourself

When Kikuyus are demonstrating Police officers walk away if its luos they enter into their homes killing mothers and sons

Nne Kamishna mkuu wa IEBC amesema IEBC ilivyo saa hii haiwezi ikaanda uchaguzi wa huru na haki kwa wakenya wote....i dont know why its rocket science to understand that when referee says one side is using a robot/super human player against another side bado mnasima na kusema kutakuwa na mechi!!!..

Tayari kamishna mmoja kesha uliwa MSANDO, mwingine ambaye ni namba Tatu kwa bodi ya makamishna wa tume ya uchaguzi ka hepa marekanj akisema hakutakuwa na Haki yeyote ile katika upigaji kura hyo!!! Yaani kamishna anaye shikilia upangaji na upigaji wa kura kesha toweka nchini akisema hakutakuwa na haki yoyote ile kwa upigaji kura mbona basi nikae chini nikijiandaa kupiga kura ikiwa tayari refa kesha sema mwishoni mwa mechi uwe umeshinda au la haupati chochote ni wapinzani wako ndio wanapata mabao???
Waafrika aliye waroga alisahau njia ya ku reverse hyo spell

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya kufuta Uchaguzi ilipaswa waende Zanzibar kujifunza kwa Jecha alitumia Mbinu gani kufuta Uchaguzi na bado Amani na Usalama ukatamalaki Visiwani, wao wameiga iga bila ya kujitathmini
 
Waache tu waendelee kunyofoana macho, mpaka wakija kushtuka kumeshakucha, maana wanajitia upofu wanaona kama vile wako USA
 
Na Katiba inamruhusu ama ina ruhusi wakenya wote kufanya maandamano watakavyo wakati wowote ile....bora wamepea watu husika onyo ama ilani (polisi) na IEBC ......
Ndio maana hakuna anaye peleka Raila kortini ama kumshika

Pili Raila Odinga amejitoa katika kiti ya ugombeaji wa urais na hivyo amesihi wafuasi wake wote waliompigia kura ambayo wanasema ni 8.5mn wasipige kura ....

Tatu watu 67 wameuliwa kutokana na vita dhidi ya uchanguzi toka 8th august
Kwa hao watu 13 ni watoto walio na umri kati ya 0-18years

Mtoto wa miaka mbili jana amefanyiwa upasuaji kutoa risasi begani
Shule nne kisumu za chekechea zimelipuliwa na Vitoa machozi wanafunzi watoto wakiwa madarasani wengi wakazirai

Kwa hao wote walio uliwa, polisi ndio waliua 64 of them!!!

Yeah Kenya Hakuna vita vya kikabila ni Polisi kuuwa wananchi...

Reason why i should support jubilees murderers beats me...demonstration is A Constitutional right Guaranteed whether you support Raila or are demonstrating for Raila or Yourself

When Kikuyus are demonstrating Police officers walk away if its luos they enter into their homes killing mothers and sons

Nne Kamishna mkuu wa IEBC amesema IEBC ilivyo saa hii haiwezi ikaanda uchaguzi wa huru na haki kwa wakenya wote....i dont know why its rocket science to understand that when referee says one side is using a robot/super human player against another side bado mnasima na kusema kutakuwa na mechi!!!..

Tayari kamishna mmoja kesha uliwa MSANDO, mwingine ambaye ni namba Tatu kwa bodi ya makamishna wa tume ya uchaguzi ka hepa marekanj akisema hakutakuwa na Haki yeyote ile katika upigaji kura hyo!!! Yaani kamishna anaye shikilia upangaji na upigaji wa kura kesha toweka nchini akisema hakutakuwa na haki yoyote ile kwa upigaji kura mbona basi nikae chini nikijiandaa kupiga kura ikiwa tayari refa kesha sema mwishoni mwa mechi uwe umeshinda au la haupati chochote ni wapinzani wako ndio wanapata mabao???
Waafrika aliye waroga alisahau njia ya ku reverse hyo spell

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Ok ni haki yao kuandamana, shida itakujia pale wachache watajaribu kuwaintimidate wanaotaka kupiga kura na kuvamia polling stations.. Hio itazua fujo
 
Raila anawaponza wafuasi wake. Hivi unategemea nn wakati watu wanapiga kura wewe unapiga kelele na tuzusha tafrani? Raila aandae hospital na viungo bandia kwa wafuasi wake kabisa.
 
Back
Top Bottom